Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Daktari mkimbizi Dkt Rehman asema ni wajibu wake kuhakikisha anamhudumia kila mgonjwa

Daktari mkimbizi Dkt Rehman asema ni wajibu wake kuhakikisha anamhudumia kila mgonjwa

Pakua

Kutana na Dkt. Saleema Rehman mkimbizi kutoka Afghanistan anayekonga nyoyo na kuokoa maisha ya wagonjwa wengi nchini Pakistan, baada ya kuvunja kila mwiko wa utamaduni atokako.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Sauti
1'50"
Photo Credit
WHO/Atul Loke