Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchini Tanzania UN yatekeleza kwa vitendo uwezeshaji vijana

Nchini Tanzania UN yatekeleza kwa vitendo uwezeshaji vijana

Pakua

Kauli ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha kuwa vijana wanajengewa  uwezo ili washiriki kikamilifu katika kufanikisha maendeleo endelevu, SDGs imeendelea kutekelezwa maeneo mbambali ambapo nchini Tanzania vijana takriban 50 kutoka wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam, wamepokea mafunzo kwa ajili ya kuimarisha stadi zao za ujasiriamali. 

Audio Credit
Stella Vuzo
Audio Duration
1'31"
Photo Credit
FAO Tanzania