Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya mafanikio bado kuna changamoto kumuenzi mtoto wa kike

Licha ya mafanikio bado kuna changamoto kumuenzi mtoto wa kike

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya mtoto wa kike duniani ambapo mwaka huu dunia inasherehekea hatua ambazo zimefikiwa tangu kupitishwa kwa azimio la Beijing lililotambua haki za mwanamke na mtoto wa kike kuwa ni haki za binadamu takribani miaka 25 iliyopita. Kila nchi imechukua hatua mbalimbali kutekeleza azimio hilo ikiwemo Tanzania.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'55"
Photo Credit
© UNICEF/Naftalin