Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mizozo na hali mbaya ya hewa imesababisha nchi 41 kuhitaji msaada wa chakula

Mizozo na hali mbaya ya hewa imesababisha nchi 41 kuhitaji msaada wa chakula

Pakua

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limesema takribani mataifa 41 yanaendelea kuhitaji msaada wa chakula kutoka nje, sababu kuu ikiwa ni mizozo na hali mbaya ya hewa.

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Flora Nducha
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
ILO/Marcel Crozet