Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia waathirika wa vimbunga Msumbiji-IOM

Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia waathirika wa vimbunga Msumbiji-IOM

Pakua

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji duniani, IOM António Vitorino hii leo amehitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Msumbiji ambako ametathmini na kuunga mkono juhudi za msaada wa kibinadamu kufuatia vimbunga viwili vilivyopiga taifa hilo la kusini mwa Afrika mwezi  Machi na Aprili mwaka huu na kuathiri watu milioni 1.8 bila kusahau vifo vya mamia ya watu.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Jason Nyakundi
Audio Duration
1'34"
Photo Credit
UN/Eskinder Debebe