Skip to main content

Tuokoe kwanza watoto waliokwama Mediterranea, ndipo siasa zifuate:UNICEF

Tuokoe kwanza watoto waliokwama Mediterranea, ndipo siasa zifuate:UNICEF

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema linasikitishwa kwamba kwa mara nyingine siasa zimepewa kipaumbele badala ya kuokoa maisha ya watoto ambao wamekwama kwenye bahari ya Mediterranea. 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'56"
Photo Credit
Italian Coastguard/Massimo Sestini