Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mamlaka Sudan warejesheheni wananchi huduma ya intaneti-Wataalamu wa haki za binadamu

Mamlaka Sudan warejesheheni wananchi huduma ya intaneti-Wataalamu wa haki za binadamu

Pakua

Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi wamezipinga hatua iliyochukuliwa na mamlaka nchini Sudan za kuzima mtandao wa intaneti wakisema inabana uhuru wa kujieleza na kujumuika. 

Audio Credit
Flora Nducha/ Patrick Newman
Audio Duration
2'19"
Photo Credit
PICHA:Ahmed Bahhar/Masarib