Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mvua kubwa yaleta athari kwa wakimbizi Cox's Bazar

Mvua kubwa yaleta athari kwa wakimbizi Cox's Bazar

Pakua

Mvua kubwa iliyonyesha mfululizo kwa siku tatu kwenye makazi ya wakimbizi warohingya kutoka Myanmar huko Cox’s Bazar nchini Bangladesh imeharibu makazi 273 na kujeruhi watu 11 kwenye eneo hilo ambalo ni makazi ya wakimbizi zaidi ya 900,000.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
2'35"
Photo Credit
UNICEF/Patrick Brown