Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO na juhudi za kusaidia usimamizi bora wa ardhi ya jamii Kenya

FAO na juhudi za kusaidia usimamizi bora wa ardhi ya jamii Kenya

Pakua

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO nchini Kenya limeshirikiana na serikali na Muungano wa Ulaya ili kuimarisha uhakika wa chakula na lishe kupitia mbinu sawa na salama na usimamizi wa ardhi kwa ajili ya maisha bora na maendeleo ya kiuchumi na kijamii. 

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Jason Nyakundi
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
©FAO/Luis Tato