Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanamke ajikwamua kwa juhudi zinazojali mazingira, Uganda

Mwanamke ajikwamua kwa juhudi zinazojali mazingira, Uganda

Pakua

Wakati ulimwenguni kukishuhudiwa mabadiliko ya tabianchi na athari zake Umoja wa Mataifa unahimiza nchi na watu binafsi kushiriki katika kuyalinda mazingira kwa njia mbali mbali ikiwemo kugeuza athari kuwa faida. Uchafuzi wa hewa na ukataji miti ni miongoni mwa changamoto ambazo zinajitokeza katika utunzaji wa mazingira. Lakini nchini Uganda baadhi ya watu wameanza kupata mwamko na kutambua kuwa wasipohifadhi mazingira leo basi vizazi vya kesho viko mashakani. Miongoni mwao ni mwanamke mmoja aliyeamua kutumia nishati mbadal ambayo inajali mazingira, kulikoni? Basi ungana na mwandshi wetu nchini humo John Kibego katika makala ifautayo.

Audio Credit
Patrick Newman/ Arnold Kayanda
Audio Duration
3'48"
Photo Credit
UNICEF/Tanya Bindra