7 Machi 2019
Kila siku wasichana barubaru 460 duniani kote wanaambukizwa Virusi Vya Ukimwi, VVU ilhali wengine 350 hufariki dunia kila wiki kutokana na Ukimwi na magonjwa yahusianayo na ugonjwa huo, limesema shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na Ukimwi, UNAIDS hii leo.
Audio Credit:
Arnold Kayanda/ Patrick Newman
Audio Duration:
2'4"