Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutoweka kwa bayoanuai ni zahma kwa uhakika wa chakula:FAO

Kutoweka kwa bayoanuai ni zahma kwa uhakika wa chakula:FAO

Pakua

Shirika la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba kuendelea kutoweka kwa bayoanuai ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa chakula duniani kutaleta zahma kubwa hasa ya uhakika wa chakula, likitaka hatua mbalimbali zichukuliwe kuhakikisha bayoanuai inalindwa.

Audio Credit
UN/News/Flora Nducha
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
FAO