Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wadau mkoani Ruvuma nchini Tanzania na harakati za kusongesha afya ya mtoto

Wadau mkoani Ruvuma nchini Tanzania na harakati za kusongesha afya ya mtoto

Pakua

Shirika la afya duniani, WHO, linasema upatikanaji wa huduma ya afya ni changamoto katika mataifa mengi hususan yanayoendelea na hivyo ni muhimu kwa serikali na wadau kushirikiana katika kuhakikisha huduma hiyo inapatokana hasa kwa watoto. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo zinazoendelea zinazojaribu kutumia mbinu mbalimbali kukabiliana na changamoto hizo za afya hususan kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu je nini kinafanyika? Hiyo ndio mada yetu kwa kina hii leo na tunaungana na John Kabambala wa radio washirika Kids Time FM mkoa wa Morogoro akizungumza na msimamizi wa vikundi vya malezi yeya watoto huko Songea mkoani Ruvuma nchini Tanzania.

Audio Credit
Flora Nducha/John Kabambala
Audio Duration
5'18"
Photo Credit
UNICEF/Frank Dejongh