Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ethiopia inafanya juhudi kubwa kusaidia wakimbizi:Grandi

Ethiopia inafanya juhudi kubwa kusaidia wakimbizi:Grandi

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeipongeza serikali ya Ethiopia kwa juhudi zake na mbinu za kuwasaidia wakimbizi zaidi la 900,000 lakini vilevile kwa kuwa wazi kuhusu hali ya wakimbizi na msaada wanaouhitaji.

Audio Credit
UN News/Amina Hassan
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
OCHA/Charlotte Cans