Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Balozi Mero asema ushirika wa mataifa ya kusini ni ufunguo wa maendeleo

Balozi Mero asema ushirika wa mataifa ya kusini ni ufunguo wa maendeleo

Pakua

Mkutano wa ushirikiano baina ya nchi  zinazoendelea au nchi za   kusini ukiendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani, Tanzania imesema kuwa ushirikiano huo umekuwa na manufaa sana hasa misaada ya maendeleo isiyo na masharti ya kupindukia licha ya kupigwa vita na baadhi ya watu

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'5"
Photo Credit
Picha na UNCTAD