Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ikiwa umelema viungo haujalemaa akili.

Ikiwa umelema viungo haujalemaa akili.

Pakua

Kuwa na ulemavu wa aina yoyote ile hakumaanishi umelemaa akili na watu wenye ulemavu wana uwezo mkubwa na mchango katika jamii kama walivyo watu wengine wasio na ulemavu amesema mmoja wa Madaktari  kutoka jamii ya Wamaasai ya Narok nchini Kenya

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)