Sera za nishati, nyuklia na tindikali baharini kupewa kipeumbele COP23:IAEA
Wakati mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi COP23 umen’goa nanga leo mjini Bonn Ujerumani, shirika la kimataifa la nguvu za atomic IAEA limesmea litatoa kipaumbele kwa masuala ya sera za nishati, maendeleo endelevu, uwezo wa nyuklia, mabadiliko ya tabia nchi na mustakhbali wa bahari.