Huduma ya afya kwa wazee yaleta nuru Tanzania
Upatikanaji wa huduma ya afya ni changamoto katika jamii nyingi na hali inakuwa mbaya zaidi kwa wazee kwani mara nyingi licha ya uwepo wa sera, mara kwa mara kundi hili linakabiliwa na ubaguzi.
Upatikanaji wa huduma ya afya ni changamoto katika jamii nyingi na hali inakuwa mbaya zaidi kwa wazee kwani mara nyingi licha ya uwepo wa sera, mara kwa mara kundi hili linakabiliwa na ubaguzi.
Naibu mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchini Jamhuri ya Afrika Kati, CAR Najat Rochdi leo katika mkutano na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani ametoa tathamini ya hali ya kiusalama na kibinadam nchini humo.
Mkuu wa ofisi ya uratibu wa misaada ya kibinadamu kwenye Umoja wa Mataifa, OCHA Mark Lowcock, amesema iwapo vizingiti vilivyowekwa nchini Yemen havitaondolewa, nchi hiyo sasa inatumbukia kwenye janga la njaa.
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limekaribisha msaada wa dola milioni 1 kutoka serikali China katika kuchangia shughuli za dharura shirika hilo.
Fedha hizo zinalenga kupunguza mateso ya wakimbizi wa ndani na wahamiaji katika eneo la Diffa huko Niger.
Majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo wameweka hadharani waraka wa kumruhusu mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi dhidi ya uhalifu uliotekelezwa Burundi au na raia wa Burundi walioko nje tangu 26 Aprili 2015 hadi 26 Oktoba 2017.
Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya na serikali ya Gambia wanatekeleza mpango wa ulinzi na ujumuishaji wa wahamiaji katika jamii.
Uhalifu dhidi ya wahamiaji waliofungwa au kusafirishwa kwa njia haramu kupitia Libya unaweza kuwajibishwa chini ya mamlaka ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC.
Shirika la Kazi Duniani ILO kwa kushirikiana na Serikali ya Norway wamesaidia vijana kwenye ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kuboresha stadi zao katika biashara na pia kuwapa fursa za ajira katika sekta mbalimbali kama vile za hoteli na utalii.
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa leo wametoa wito kwa serikali ya Brazil kuchukua hatua za haraka katika mapambano dhidi ya utumwa wa kisasa unaodhoofisha kanuni za ushirika.
Idadi ya watu wanaotawanywa na athari za mbadiliko ya tabia nchi ikiwemo ukame, mafuriko, vimbunga na majanga mengine inaongezeka , kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR iliyotolewa leo kwenye mkutano wa mabadilko ya tabia nchi COP23 unaoendelea nchini