Radio ni chombo chaa kijamii hususani Afrika: Dkt Hamza Mwamoyo
Radio ni chombo cha habari kwa makundi yote kwa wasomi na wasio wasomi na pia chombo hiki hutumika kama chombo cha kijamii barani Afrika amesema mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya sauti ya America VOA Dkt.