Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

Pakua

‘‘Bila kujumuisha wanawake hakuna maendeleo na radio inawezesha jukumu hilo”amesema Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi wakati wa mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii kuhusu umuhimu wa siku ya radio duniani February 13 kila mwaka.

Balozi Manongi ambaye nchi yake itaongoza mjadala hapa Umoja wa Mataifa katika maadhimisho ya siku hiyo yenye kauli mbiu ya uwezeshaji wa kijinsia anaanza kwa kueleza kwanini Tanzania imeteuliwa kuwa kinara katika mjadala huo ambao utafanyika katika atarehe ya baadaye.

(MAHOJIANO)