Upanzi wa miti ufukwe wa ziwa Albert nchini Uganda
Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 nchi zinahaha kutimiza malengo hayo.
Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 nchi zinahaha kutimiza malengo hayo.
Nchini Somalia Serikali na wadau wamepitisha makubaliano kuhusu jinsi ya kukabiliana na suala la ukatili wa kingono nchini humo.
Tarehe 15 Mei ya kila mwaka ni siku ya familia duniani ambapo ujumbe wa mwaka huu umeangazia umuhimu wa kuimarisha familia ili kuweza kufikia malengo ya maendeleo ya milenia hususan lile la kutokomeza umaskini.
newuser
11.9999
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
Kikao cha kudumu kinachohusu haki za watu wa asili kinaendelea hapa New York wiki hii, na washiriki wamekuwa wakizungumzia masuala mbali mbali ambayo yanayahusu hali ya maisha ya watu wa asili.
NchiniTanzaniahoma ya Dengue imeripotiwa tangu mwanzoni mwa mwaka huu na hadi Jumanne ya tarehe 13 Mei 2014 watu watatu wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo ilihali 400 wameugua.
Huduma ya maji safi inasalia Kuwa changamoto kubwa hasa katka nchi zinazoendelea idadi kubwa ikiwa ni nchi zilizoko barani Afrika. Hudum hii adhimu inapopatikana inachangia katika kuimarisha usafi, afya na maisha ya watu. basi ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.
Harakati za kukabiliana na Malaria kote ulimwenguni zimeokoa maisha ya takriban watu 3.3 tangu mwaka 2000, huku vifo kutokana na malaria vikiwa vimepungua kwa asilimia 42 kote ulimwenguni na asilimia 49 barani Afika.
Wakati Somali ikiendelea na juhudi za amani baada ya vita ya miongo mbili. Umoja wa Mataifa, jamii ya kimataifa na serikali ya nchi hiyo zimechukua hatua mbali mbali katika kuweka amani nchini Somalia. Basi ungana na Joseph Msami katika makala hii kuhusu mafunzo kwa wanamgambo.
"Haki Sawa, Fursa Sawa : Elimu na Ulemavu" ; hii ndiyo maudhui ya Wiki Ya Kampeni ya Elimu Duniani (Global Action Week) ya mwaka huu, inayoadhimishwa kwanzia Mei tarehe 4 hadi 10 kote duniani.