Tanzania yaungana na dunia kuadhimisha siku ya mazingira.
Nchi mbalimbali duniani leo zimeadhimisha siku ya mazingira duniani zikichagizwa na kauli mbiu kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira, UNEP "kufikiri, kula, kuhifadhi mazingira na kupunguza uharibifu wa chakula katika jamii"