Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

OCHA imeripoti waathiriwa wa mafuriko Uganda kuhitaji haraka misaada ya kiutu

OCHA imeripoti waathiriwa wa mafuriko Uganda kuhitaji haraka misaada ya kiutu

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imeripoti kupatikana mafanikio kuhusu ugawaji wa misaada ya dharura kwa waathiriwa wa mafuriko kwenye maeneo ya Uganda kaskazini na mashariki katika miezi ya Agosti hadi Oktoba, hususan katika ugawaji wa chakula na katika juhudi za kuwapatia raia hifadhi kinga dhidi ya maradhi ya kuambukiza.