Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

'Wakati umewadia wa vitendo': Yasisitiza mada ya Mkutano wa UM juu ya VVU/UKIMWI

'Wakati umewadia wa vitendo': Yasisitiza mada ya Mkutano wa UM juu ya VVU/UKIMWI

Kama tunavyojua mkutano mkuu wa UM wa kumi na sita juu ya UKIMWI ulifanyika hivi karibuni katika mji wa Toronto, Kanada kuanzia tarehe 13 hadi 18 Agosti na kujumuisha wajumbe kadha kutoka pembe mbalimbali za kimataifa.