Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI: Liandikwalo ndilo liwalo

METHALI: Liandikwalo ndilo liwalo

Pakua

Utamaukapo ndipo misemo ya wahenga inapokujia kama anavyoelezea Aida Mutenyo, Mkuu wa Idara za Kiswahili kwenye Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki wakati akifafanua methali isemayo, "Liandikwalo ndilo liwalo." 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Aida Mutenyo
Audio Duration
1'7"
Photo Credit
UN