Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

MINUSCA yakabidhi mamlaka ya Bangassou, CAR daraja jipya

MINUSCA yakabidhi mamlaka ya Bangassou, CAR daraja jipya

Pakua

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, kilio cha wakazi wa mji wa Bangassou kwenye mkoa wa Mbomou cha kukosa daraja, hatimaye kimesikika na sasa safari waliyokuwa wanafanya kwa mwezi mmoja sasa itafanyika kwa wiki moja baada ya Umoja wa Mataifa kuchukua hatua. John Kibego na maelezo zaidi. 

Audio Credit
Flora Nducha- John Kibego
Audio Duration
2'22"
Photo Credit
UN photo / Catianne Tijerina