Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

07 Machi 2024

07 Machi 2024

Pakua

Hii leo jaridani tunaangazia miradi inayotekelezwa na Umoja wa Mataifa huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo -DRC kusaidia wanawake ikiwa ni kuelekea siku ya wanawake duniani hapo kesho Machi 8. 

Pia utapata fursa ya kusikiliza muhtasari wa habari na kujifunza lugha ya kiswahili ambapo leo ni ufafanuzi wa methali 'AFUNGAYE KIBWEBWE SI BURE ANA MCHEZO'

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'43"