Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili - "KUMBITI"

Jifunze Kiswahili - "KUMBITI"

Pakua

Katika jifunze Kiswahili hii leo tunabisha hodi kwenye Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA  Je wajua maana ya neno “KUMBITI”? 

Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA anafafanua. 

Sauti
47"
Photo Credit
Habari za UN