Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali - Mnywa Maji kwa Mkono Mmoja Kiu yake I pale pale

Methali - Mnywa Maji kwa Mkono Mmoja Kiu yake I pale pale

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA nchini Tanzania anachambua methali, "Mnywa Maji kwa Mkono Mmoja Kiu yake I pale pale."

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
54"
Photo Credit
Habari za UN