Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fahamu Umuhimu wa yoga katika kujenga mwili

Fahamu Umuhimu wa yoga katika kujenga mwili

Pakua

Aina nyingi za mazoezi zinaweza kusaidia kuimarisha maisha yako, lakini hapa tunazingatia zoezi ya yoga kwa sababu ni wiki hii tarehe 21 Juni ambapo ulimwengu umeazimisha siku ya Yogan Duniani.

Maudhui ya mwaka huu ya siku hii “Yoga kwa ajili ya ustawi wa sayari moja, familia moja.” 

Kufahamu zoezi hii kwa undani pamoja na faida zake mwilini, tunamsikiliza mwalimu wa Yoga kutoka Kenya Zepline Ouma.

Audio Credit
Sarah Oleng'/Zepline Ouma
Audio Duration
2'26"
Photo Credit
Maktaba ya Kibinafsi/Zepline Ouma