Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili - msemo, "Funga Funganya"

Jifunze Kiswahili - msemo, "Funga Funganya"

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, leo mtaalam wetu  Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, anatufafanulia maana ya msemo "FUNGA FUNGANYA", karibu!

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
50"
Photo Credit
UN