Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

JIFUNZE KISWAHLI: Paka hakubali kulala chali

JIFUNZE KISWAHLI: Paka hakubali kulala chali

Pakua

Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili tunakwenda Zanzibar nchini Tanzania ambako Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma anachambua methali isemayo "Paka hakubali kulala chali." Karibu!

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Dkt. Mwanahija Ali Juma
Sauti
41"
Photo Credit
UN