Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Usisafirie nyota ya mwenzio

Neno la Wiki- Usisafirie nyota ya mwenzio

Pakua

Leo katika kujifunza kiswahi mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "USISAFIRIE NYOTA YA MWENZIO”

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
1'1"
Photo Credit
UN