Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR na WHO washirikiana na wananchi kufanikisha kituo cha afya, Darfur Kaskazini

UNHCR na WHO washirikiana na wananchi kufanikisha kituo cha afya, Darfur Kaskazini

Pakua

Jamii katika eneo la Abu Gaw, Darfur Kaskazini, Sudan, imeanza kufaidika na kituo kipya cha afya katika Kijiji chao. Kituo ambacho kimejengwa kutokana na ushirikiano wa jamii, UNHCR na WHO baada ya kuwa kimeharibiwa tangu mwaka 2004 ambapo wananchi waliyakimbia makazi hayo. Happiness Palangyo wa Radio washirika Radio Uhai FM ya Tabora Tanzania anasimulia.

Audio Duration
4'25"