Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Biashara mtandao ni fursa mpya ya kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs- Amina

Biashara mtandao ni fursa mpya ya kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs- Amina

Pakua

Wiki ya biashara mtandao inayosimamiwa na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Biashara na Maendeleo, UNCTAD ikiwa imeanza, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed amesema wiki hiyo inatoa fursa ya kuangalia upya matumizi ya data na mifumo na majukwaa ya kidijitali kwa ajili ya maendeleo endelevu.

Audio Credit
Leah Mushi/Assumpta Massoi
Sauti
2'1"
Photo Credit
Unsplash/rupixen