Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

16 Desemba 2021

16 Desemba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa utakayo sikia leo ni kuhusiana na utapiamlo Garissa nchini Kenya, viongozi wa dini watembelea wakimbizi wa ndani nchini Sudan Kusini na Mtumishi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania ambaye amekuwa akifanya kazi ya udereva kwa miaka zaidi ya 20 amezungumzia miaka 75 ya UNICEF

Kwa habari hizo na nyingine nyingi ungana na Flora nducha . 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
14'22"