Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

26 Novemba 2021

26 Novemba 2021

Pakua

karibu kusikiliza jarida ambapo leo tunabisha hodi Dubai kwenye maenesho ya kimataifa Expo2020 katika banda la Kenya kusikia kinachojiri huko na umuhimu wa Kenya kushiriki maonesho hayo.

Pia utapata fursa ya kusikia habari kwa ufupi zinazogusia mapigano huo Ethiopia na Sudan pamoja na upimaji binafsi wa VVU.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
10'56"