Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

17 Novemba 2021

17 Novemba 2021

Pakua

Ni Jumatano ya tarehe 17 mwezi Novemba mwaka 2021 karibu kusikiliza jarida Assumpta Massoi anakuletea mada kwa kina maalum ikiangazia namna watoa huduma ya chakula wanavyojiimarisha kiuchumi na  kujikinga na janga la ugonjwa wa Corona au coronavirus">COVID-19

Pia utasikia muhtasari wa habari ikiwemo salamu za rambirambi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenda kwa wananchi wa Uganda. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'21"