Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali, "Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba"

Methali, "Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba"

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa methali, "Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
 

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
1'2"
Photo Credit
UN