Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida 17 Septemba 2021

Jarida 17 Septemba 2021

Pakua

Ungana na Assumpta Massoi ambaye pamoja na mambo mengine anakuletea mada kwa kina inayomulika jinsi Tanzania itakavyotumia mkopo wa dharura kutoka shirika la fedha la kimataifa, IMF kwa ajili ya kukabiliana na athari za ugonjwa wa Corona au coronavirus">COVID-19.

Na katika kujifunza Kiswahili utapata ufafanuzi wa maana ya msemo"KINGA NA KINGA NDIPO MOTO UWAKAPO" 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'1"