Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

23 Julai 2021

23 Julai 2021

Pakua

Jaridani Ijumaa Julai 23, 2021-

Ikiwa leo ni Ijumaa tuna habari kwa ufupi na mada kwa kina ambayo ni simulizi ya muuguzi aliyepata coronavirus">COVID-19 na kisha kupona pia neno la wiki ambapo mchambuzi wetu anachambua neno "basi"

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'19"