Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

20 Mei 2021

20 Mei 2021

Pakua

Mitungi milioni 4 ya oksijeni yahitajika duniani kote kila siku kwa wagonjwa wa coronavirus">COVID-19.

Ulimwengu wajipanga kuzuia magonjwa ya mlipuko yanayoanzia kwa wanyama.

Na mjasiriamali Furaha wa DRC anaishukuru FAO na WFP akisema, "mimi na wanangu 12 twaweza kuishi."

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
12'46"