Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

21 Aprili 2021

21 Aprili 2021

Pakua

Uamuzi dhidi ya kesi ya Floyd ungalikuwa vinginevyo, ingalikuwa kituko dhidi ya haki- Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet.

Hakuna dalili za kumalizika mzozo Tigray imeonya UNICEF.

Na chanjo dhidi ya coronavirus">COVID-19 imeniondoa hofu ya kuhudumia wazazi- Mkunga Uganda.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
12'50"