Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Aweka faida kando kuunga mkono hoja ya UN ya afya kwa kila mtu

Aweka faida kando kuunga mkono hoja ya UN ya afya kwa kila mtu

Pakua

Afya bora ni moja ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, ya Umoja wa Mataifa.

Mara nyingi mtu akianzisha biashara, mathalani ya kutoa huduma za hospitali, lengo huwa ni kutafuta faida na kujiendeleza na ni wachache mno wanaotumia biashara zao kunufaisha jamii bila malipo.

Florence Kabii ni miongoni mwa wachache hao ambao biashara yake ya hospitali imekuwa tumaini na kimbilio la wengi wasiojiweza katika eneo la Molo, kaunti ya Nakuru nchini Kenya.

Jason Nyakundi  amezungumza na Florence kubaini namna mwanamke huyo anayetambulika kama mama afya anavyostiri maisha ya wengi huku akiweka kando suala  la faida.

 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Jason Nyakundi
Audio Duration
4'36"
Photo Credit
Doris Mollel Foundation.