Uvuvi uko njiapanda licha ya umuhimu wake katika kukabiliana na umasikini-FAO 23 Novemba 2020 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO linasema uvuvi uko njiapanda hususani katika nchi maskini ingawa ni wazi kuwa samaki ni muhimu katika kupambana na umaskini. Audio Credit Flora Nducha- Anold Kayanda Audio Duration 1'59" Photo Credit UN/Logan Abassi Uvuvi endelevu samaki