Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ko Ko amekuwa akifanya kazi tangu akiwa na umri wa miaka saba, kulikoni?

Ko Ko amekuwa akifanya kazi tangu akiwa na umri wa miaka saba, kulikoni?

Pakua

Filamu ya maisha halisi iliyotengenezwa na shirika la kazi la Umoja wa Mataifa ILO kwa kushirikiana na kampuni ya PhotoDoc Association ya nchini Mynmar, imeonesha madhila mazito wanayoyapata watoto wanapotumikishwa katika ajira katika umri mdogo.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Anold Kayanda
Sauti
2'35"
Photo Credit
UNESCO/Anders Lee