Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki-MGEMA AKISIFIWA, TEMBO HULITIA MAJI

Neno la wiki-MGEMA AKISIFIWA, TEMBO HULITIA MAJI

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili kupitia Neno la wiki tutajifunza maana ya methali "MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI " na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.

Audio Credit
Josephat Gitonga
Sauti
1'2"
Photo Credit
UN