Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya mara moja, nilijaribu kujiua.

Zaidi ya mara moja, nilijaribu kujiua.

Pakua

Tukielekea siku ya kimataifa ya kupinga na kuzuia kujiua ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 mwezi huu wa Septemba, ikiwa kama njia ya kuchukua hatua za dunia nzima kuzuia watu kujiua huku shughuli tofauti zikifanyika kote dunia tangu mwaka 2003, Mwandishi wa Kenya Jason Nyakundi amezungumza na vijana ambao wakati mmoja walijaribu kujitoa uhai kwa sababu moja au nyingine. Ili kufahamu kilichosababisha hadi wao kuwaza hivyo, walinusurika kwa njia gani, na sasa maisha yao yamebadilika kwa njia gani, kwako Jason Nyakundi.

Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
8'7"
Photo Credit
UNICEF/Adriana Zehbrauskas