KUJIUA

11 Septemba 2019

Asilimia 54 ya watu Sudan Kusini hawana uhakika wa chakula imesema

Sauti -
13'25"

UNHCR yaibuka na operesheni matumaini kutokana na kushamiri kwa vitendo vya kujiua Sudan Kusini.

Sudan Kusini inashuhudia ongezeko la idadi ya watu wanaojiua au wanaojaribu kujiua kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa takribani miaka mitano sasa, ambayo pia vimesababisha watu milioni 2 kukimbilia nchi jirani na wengine milioni 1.9 kusalia wakimbizi wa ndani nchini humo.

Sauti -
1'59"

Nilimeza zaidi ya vidonge 80 ili nijiue-Sheila

Takriban watu laki nane hufariki dunia kila mwaka kutokana na kujiua.

Sauti -
4'18"

Nilimeza zaidi ya vidonge 80 ili nijiue-Sheila

Takriban watu laki nane hufariki dunia kila mwaka kutokana na kujiua.

Sauti -
4'27"

Juhudi za pamoja zitasaidia kupunguza visa vya kujiua duniani-WHO

Juhudi za pamoja zitasaidia kuongeza uelewa wa tatizo la kujiua na hivyo kunusuru maisha ya watu wengi , limesema leo shirika la afya  duniani WHO . Flora Nducha taarifa kamili