Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rubani wa kwanza wa kike mkimbizi kutoka Syria, Maya Ghazal

Rubani wa kwanza wa kike mkimbizi kutoka Syria, Maya Ghazal

Pakua

Msichana mkimbizi kutoka Damascus Syria ambaye sasa anaishi Uingereza, hivi karibuni alirusha ndege kwa mara ya kwanza akiwa peke yake, ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika safari yake ya masomo ambayo yatamfanya kuwa rubani wa kwanza wa kike mkimbizi kutoka Syria. 

Audio Credit
Anold Kayanda
Sauti
2'27"
Photo Credit
Photo: UNDP Sri Lanka